• HABARI MPYA

        Monday, November 30, 2020

        MSHAMBULIAJI TEGEMEO WA AZAM FC, PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOKWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU

         

        Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo, akiwa safarini kuelekea nchini Afrika Kusini jana alfajiri, kufanyiwa matibabu ya mkono wake wa kushoto alioumia kwenye mechi ya Ligi Kuu yaTanzania Bara dhidi ya Yanga Novemba 25. Mzimbabwe huyo atafanyiwa matibabu katika hospitali ya Vincent Pallotti Jijini Cape Town, ambako wachezaji wote wa Azam FC wamekuwa wakitibiwa hapo kwa ufanisi mkubwa.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MSHAMBULIAJI TEGEMEO WA AZAM FC, PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOKWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry