// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA ATLETICO MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA ATLETICO MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA ATLETICO MADRID
Lionel Messi akiwa mnyonge baada ya Barcelona kuchapwa 1-0 na Atletico Madrid, bao pekee la Yannick Carrasco dakika ya 45 na ushei kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo wa kwanza dhidi ya Barcelona ndani ya miaka 10, Atletico Madrid inafikisha pointi 20 baada ya kucheza mechi nane na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa wastani wa mabao na Real Sociedad inayoongoza. Barcelona inabaki na pointi zake 11 katika nafasi ya 10 baada ya kucheza mechi nanePICHA ZAIDI GONGA HAPA
Injury delays Lockyer return from cardiac arrest
-
Tom Lockyer has surgery following an ankle ligament injury, just a week
before being due to return for the first time since suffering a cardiac
arrest.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment