• HABARI MPYA

        Thursday, November 19, 2020

        LUKAKU APIGA MBILI UBELGIJI YAICHAPA DENMARK 4-2 ULAYA


        Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika ya 57 na 69 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Denmark kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa King Power at Den Dreef, Heverlee na kutinga hatua ya mwisho ya michuano hiyo. Mabao mengine ya Ubelgiji yamefungwa na Youri Tielemans dakika ya tatu na Kevin De Bruyne dakika ya 87, wakati ya Denmark yamefungwa na Jonas Wind dakika ya 17 na Nacer Chadli aliyejifunga dakika ya 86
         

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LUKAKU APIGA MBILI UBELGIJI YAICHAPA DENMARK 4-2 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry