• HABARI MPYA

        Sunday, November 29, 2020

        HAZARD AUMIA, REAL MADRID YACHAPWA 2-1 NYUMBANI NA ALAVES


        Eden Hazard akiwa chini baada ya kuumia kabla ya kutolewa nafasi yake ikichukuliwa na 
        Rodrygo dakika ya 28 katika mchezo wa La Liga Real Madrid ikichapwa 2-1 na Deportivo Alavés kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja Alfredo Di Stéfano. Mabao ya Deportivo Alavés yalifungwa na Lucas Pérez kwa penalti dakika ua tano na Joselu dakika ya 49, baada ya Casemiro kuifungia la kufutia machozi Reakl Madrid dakika ya 86 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HAZARD AUMIA, REAL MADRID YACHAPWA 2-1 NYUMBANI NA ALAVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry