• HABARI MPYA

        Saturday, November 28, 2020

        CAF YARUHUSU MASHABIKI ASILIMIA 50 KUINGIA MECHI ZA MICHUANO YA AFRIKA ZA KLABU ZA TANZANIA

         

        SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeridhia asilimia 50 ya mashabiki kuingia uwanjani kushuhudia michezo ya Raundi ya Awali michuano ya Afrika, itakayozihusisha Namungo FC leo na Simba SC wiki ijayo.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CAF YARUHUSU MASHABIKI ASILIMIA 50 KUINGIA MECHI ZA MICHUANO YA AFRIKA ZA KLABU ZA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry