MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji akimkabidhi zawadi ya jezi mpya za klabu, Spika wa Bunge, Job Ndugai katika hafla ya wabunge ambao ni mashabiki wa Simba iliyofanyika usiku wa jana Jijini Dodoma.

0 comments:
Post a Comment