// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana ametembelea kambi ya Simba SC Jijini Abuja, Nigeria na kuzungumza na viongozi na wachezaji na kabla ya kukabidhiwa zawadi ya jezi mpya ambayo itatumika kwenye mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Jumapili Uwanja wa Jos mjini humo
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana akizungumza na kocha wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana akizungumza na viongozi na wachezaji wa Simba leo Abuja
Item Reviewed: BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment