// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, November 09, 2020

        AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA


        Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Aisha Masaka jana alichaguliwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Afrika Kusini ya michuano ya COSAFA inayoendelea Nelson Mandela Bay

        Katika mechi hiyo ambayo Tanzania ilishinda mabao 6-1, Aisha alifunga mabao matano
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry