
Monday, November 30, 2020

AZAM FC imetoa sare ya 1-1 na wenyeji, Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume Musoma mkoan...
NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0, KUMENYANA NA UGANDA FAINALI CECAFA U-20
Monday, November 30, 2020
TANZANIA imefanikiwa kwenda Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa vijana chini ya umri wa miaka 2...
CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA TOTTENHAM STAMFORD BRIDGE
Monday, November 30, 2020
Vita ya Wafaransa; Tanguy Ndombele wa Tottenham Hotspur akimtoka kiungo mwenzake Mfaransa, N'Golo Kante wa Chelsea katika mchezo wa Ligi...
ARSENAL WAPIGWA MECHI YA TANO MSIMU HUU, YALALA 2-1 KWA WOLVES
Monday, November 30, 2020
TIMU ya Arsenal jana imechapwa mabao 2-1 na Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Mabao y...
MSHAMBULIAJI TEGEMEO WA AZAM FC, PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOKWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU
Monday, November 30, 2020
Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo, akiwa safarini kuelekea nchini Afrika Kusini jana alfajiri, kufanyiwa matibabu ya mkono wa...
Sunday, November 29, 2020
SIMBA SC YAWAZIMA WANIGERIA KWAO, YAWACHAPA PLATEAU UNITED 1-0 MFUNGAJI CHAMA JOS
Sunday, November 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, JOS SIMBA SC imetanguliza mguu mmoja mbele Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wen...
CAVANI APIGA MBILI MAN UNITED IKITOKA NYUMA NA KUSHINDA 3-2
Sunday, November 29, 2020
Edinson Cavani akishangilia baada ya kutokea benchi na kufunga mabao mawili ndani ya dakika 15 za mwisho, Manchester United ikitoka nyuma kw...
MESSI AFUNGA BAO LA NNE BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA
Sunday, November 29, 2020
Lionel Messi akionyesha ishara ya kumuenzi Diego Maradona aliyefariki dunia Jumatano kwao, Argentina baada ya kuifungia Barcelona bao la nne...
POLISI TZ YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION MOSHI, PRISONS YAICHAPA MWADUI FC 2-0 SUMBAWANGA
Sunday, November 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Polisi Tanzania imelazimishwa sare ya kufungana 1-1 na Coastal Union ya Tanga jioni ya leo Uwanja w...
MLANDEGE YACHAPWA 5-0 NA CS SFAXIEN YA TUNISIA PALE PALE ZANZIBAR LIGI YA MABINGWA
Sunday, November 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR TIMU ya Mlandege FC ya Zanzibar imeanza vibaya michuano ya Afrika, baada ya kuchapwa 5-0 na CS Sfaxien ya Tunisi...
HAZARD AUMIA, REAL MADRID YACHAPWA 2-1 NYUMBANI NA ALAVES
Sunday, November 29, 2020
Eden Hazard akiwa chini baada ya kuumia kabla ya kutolewa nafasi yake ikichukuliwa na Rodrygo dakika ya 28 katika mchezo wa La Liga Real M...
TYSON AREJEA ULINGONI NA KUMSHUGHULIKIA ROY JONES JR
Sunday, November 29, 2020
Mike Tyson (kushoto) akimsukumia konde Roy Jones Jr katika pambano la raundi nane la kukumbushia enzi zao asubuhi ya leo ukumbi wa Staples C...
YANGA SC 1-0 JKT TANZANIA (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Sunday, November 29, 2020
Saturday, November 28, 2020
NAMUNGO FC WAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI
Saturday, November 28, 2020
TIMU ya Namungo FC imeanza vyema Kombe la Shirikisho baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Rabita ya Sudan Kusini usiku wa leo Uwanja wa Azam ...
MAHREZ APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA BURNLEY 5-0 ETIHAD
Saturday, November 28, 2020
Nyota wa Algeria, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Manchester City dakika za sita 22 na 69 katika ushindi wa 5-0 dh...
VAR YAKATAA MABAO YA SALAH, MANE LIVERPOOL SARE 1-1 NA BRIGHTON
Saturday, November 28, 2020
Kiungo Pascal Gross akiifungia Brighton & Hove Albion bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika sare ya 1-1 na Liverpo...
KASEKE TENA, YANGA SC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 NA KUJINAFASI KILELENI LIGI KUU TZ BARA
Saturday, November 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imejiweka sawa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya ...
SIMBA SC WAKIJIFUA MJINI JOS KABLA YA KUWAVAA PLATEAU UNITED KESHO KATIKA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Saturday, November 28, 2020
Beki wa Simba SC, Josh Onyango akiwa mazoezini leo mjini Jos, Nigeria wakijiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Af...
KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI MUSOMA LEO TAYARI KUWAVAA BIASHARA UNITED JUMATATU KARUME
Saturday, November 28, 2020
Kipa wa Azam FC, David Mapigano kisu baada ya kikosi cha Azam FC kuwasili mjini Musoma mkoani= Mara leo mchana tayari kwa mchezo wake wa ...
CAF YARUHUSU MASHABIKI ASILIMIA 50 KUINGIA MECHI ZA MICHUANO YA AFRIKA ZA KLABU ZA TANZANIA
Saturday, November 28, 2020
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeridhia asilimia 50 ya mashabiki kuingia uwanjani kushuhudia michezo ya Raundi ya Awali michuano ya Afr...
IBRAHIM CLASS AMSHINDA KWA POINTI MZAMBIA NA KUTETEA TAJI
Saturday, November 28, 2020
Refa akimuinua mkono Bondia Mtanzania, Ibrahim Class baada ya kumshinda kwa pointi, Mzambia Mzambia, Simon Ngoma kwenye pambano la Raundi 10...
Friday, November 27, 2020
KIKAO CHA MCHAKATO WA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI NDANI YA YANGA SC CHAFANA LEO
Friday, November 27, 2020
Wajumbe katika picha ya pamoja baada ya kikao cha kupitia ripoti ya mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga yan...
SIMBA SC WALIVYOWASILI JOS LEO TAYARI KUWAVAA WENYEJI, PLATEAU UNITED JUMAPILI LIGI YA MABINGWA
Friday, November 27, 2020
Washambuliaji tegemeo wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kulia) na Mnyarwanda Meddie Kagere (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa J...
MAELFU WAMZIKA DIEGO MARADONA MAKABAURI YA BELLA VISTA
Friday, November 27, 2020
NYOTA mkubwa wa soka, Diego Maradona amezikwa jana katika zoezi lililoshuhudiwa na maelfu ya mji Mkuu wa Argentina, Buenos Aires. Jeneza lak...
ARSENAL YAICHAPA MOLDE FK 3-0 NA KUTINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE
Friday, November 27, 2020
Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Molde FK, mabao ya Nicolas ...
Thursday, November 26, 2020
AZAM FC YAWATUPIA VIRAGO MAKOCHA WAKE WAROMANIA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA SC JANA
Thursday, November 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imefikia makubaliano ya kuachaana na kocha wake, Aristica Cioaba pamoja na Msaidizi wake m...
BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI
Thursday, November 26, 2020
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana ametembelea kambi ya Simba SC Jijini Abuja, Nigeria na kuzungumza na viongozi na wachezaj...
NGORONGORO HEROES YAITANDIKA SOMALIA 8-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA U-20 KIBABE
Thursday, November 26, 2020
Wachezaji wa Tanzania wakipongezana kwa ushindi wa 8-1 dhidi ya Somalia kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black ...
PRINCE DUBE KUPELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU BAADA YA KUUMIA DHIDI YA YANGA JANA
Thursday, November 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo, aliyeumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania B...
SIMBA SC WAWASILI SALAMA ABUJA TAYARI KUWAVAA PLATEAU UNITED JUMAPILI NIGERIA
Thursday, November 26, 2020
KIKOSI cha wachezaji 24 kimewasili salama Abuja, Nigeria jana jioni kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afr...
ATALANTA WAICHAKAZA LIVERPOOL MABAO 2-0 PALE PALE ANFIELD
Thursday, November 26, 2020
MABAO ya Josip Ilicic dakika ya 60 na Robin Gosens dakika ya 64 yameipa Atalanta ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Liverpool usiku wa jana kw...
BAYERN MUNICH WAENDA 16 BORA BAADA YA KUICHAPA SALZBURG 3-1
Thursday, November 26, 2020
MABINGWA watetezi, Bayern Munich wamejihakikishia kwenda Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya RB Salzburg kati...
MAN CITY yAICHAPA OLYMPIAKOS 1-0 PIRAEUS LIGI YA MABINGWA
Thursday, November 26, 2020
Phil Foden akishangilia na Raheem Sterling baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 36 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji,...
REAL YAICHAPA INTER MILAN 2-0 NA KUITUPA NJE LIGI YA MABINGWA
Thursday, November 26, 2020
Real Madrid imeichapa Inter Milan 2-0, mabao ya Eden Hazard kwa penalti dakika ya saba na Rodrygo dakika ya 59 katika mchezo wa Kundi B Ligi...
Wednesday, November 25, 2020
DIEGO MARADONA AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 60
Wednesday, November 25, 2020
GWIJI wa soka Argentiona, Diego Armando Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60. Kiungo huyo mshambuliaji wa Argentina awali mwez...
KASEKE AFUNGA BAO PEKEE CHAMAZI YANGA SC WAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU
Wednesday, November 25, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO, Yanga SC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji...
AZAM FC 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Wednesday, November 25, 2020
NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOONDOKA ADDIS ABABA LEO ASUBUHI KUWAFUATA PLATEAU UNITED ABUJA
Wednesday, November 25, 2020
Wachezaji wa Simba SC wakienda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Boli Addis Ababa, Ethiopia tayari kuunganisha ndege kwenda Abuja, Nigeria kwa...
HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA CLUB BRUGGE 3-0
Wednesday, November 25, 2020
Erling Haaland akishangilia na Jadon Sancho baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Club Brugge kwenye mche...
NEYMAR AFUNGA BAO PEKEE PPSG YAWACHAPA1-0 RB LEIPZIG
Wednesday, November 25, 2020
Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao pekee kwa penalti dakika ya 11 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya RB Leipzig kwe...
RONALDO AFUNGA JUVENTUS YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 TORINO
Wednesday, November 25, 2020
Cristiano Ronaldo akinyoosha kidole kwenye benchi lao baada ya kuifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 35, kabla ya Alvaro Morata ku...
Subscribe to:
Posts (Atom)