// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 09, 2020

    WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI

    Washambuliaji wakongwe wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu (kulia) na Nahodha, Mbwana Samatta wakiwa mazoezi ni kujiandaa kuivaa Burundi keshokutwa katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

    Beki wa Taifa Stars, Bakari Nondo Mwamnyeto akifanya mazoezi ya utimamu wa mwili kuelekea mechi na Burundi Jumapili


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WASHAMBULIAJI TEGEMEO TAIFA STARS, SAMATTA NA ULIMWENGU MAZOEZINI KUELEKEA MECHI NA BURUNDI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top