// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 28, 2020

    SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA


    Mohamed Salah (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili kwa penalti dakika ya 90 na ushei kufuatia Diogo Jota kufunga la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Midtjylland ya Denmark kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Anfield
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top