Mikel Oyarzabal (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao pekee dakika ya 14 ikiichapa Uswisi 1-0 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
OYARZABAL AIFUNGIA BAO PEKEE HISPANIA YAILAZA USWISI 1-0 MADRID
Mikel Oyarzabal (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao pekee dakika ya 14 ikiichapa Uswisi 1-0 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment