Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa klabu hiyo akiwa na kocha mpya wa klabu hiyo, Mrundi Cedric Kaze baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana


0 comments:
Post a Comment