Kocha Mrundi Cedric Kaze (kulia) akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu ya Yanga leo makao makuu ya klabu, makutanoya Mitaa ya Twiga na Jangwani Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla.
Kaze anachukua nafasi ya Mserbia, Zlatko Krmpotic aliyedumu kwa mwezi mmoja tu kabla ya kufukuzwa.
0 comments:
Post a Comment