Danny Ings akibinuka tik tak kuifungia England bao la tatu dakika ya 63 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Wembley, London baada ya Dominic Calvert-Lewin kufunga la kwanza dakika ya 26 na Conor Coady la pili dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
DANNY INGS APIGA BONGE LA BAO ENGLAND YAICHAPA WALES 3-0
Danny Ings akibinuka tik tak kuifungia England bao la tatu dakika ya 63 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Wembley, London baada ya Dominic Calvert-Lewin kufunga la kwanza dakika ya 26 na Conor Coady la pili dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment