Harry Maguire wa Manchester United akimdhibiti Cesar Azpilicueta wa Chelsea kwenye eneo la penalti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. The Blues walilalamika kunyimwa penalti kwa tukio hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CHELSEA WANYIMWA PENALTI WAKITOA SULUHU NA MAN UNITED
Harry Maguire wa Manchester United akimdhibiti Cesar Azpilicueta wa Chelsea kwenye eneo la penalti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. The Blues walilalamika kunyimwa penalti kwa tukio hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment