
Saturday, October 31, 2020

Na Mwandishi Wetu, MUSOMA VIGOGO, Yanga SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya w...
SIMBA SC WAZINDUKA KUTOKA KWENYE VIPIGO VIWILI MFULULIZO NA KUITANDIKA MWADUI FC 5-0
Saturday, October 31, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wamezinduka kutoka kwenye vipigo viwili mfululizo baada ya kuichapa Mwadui FC m...
TWAHA KIDUKU AMSHINDA BONDIA WA THAILAND TKO RAUNDI YA SABA
Saturday, October 31, 2020
BONDIA, Twaha Kassim Rubaha (kushoto), maarufu kwa jina la utani Twaha 'Kiduku usiku wa jana amesmhinda kwa Technical Knockout (TKO) rau...
Friday, October 30, 2020
SURE BOY AINUSURU AZAM FC KUFUNGWA NYUMBANI, YATOA SARE 1-1 NA JKT TANZANIA CHAMAZI
Friday, October 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanz...
KIKOSI CHA YANGA SC CHAZURU KABURI LA MWALIMU NYERERE NA KUMKABIDHI JEZI MAMA MARIA
Friday, October 30, 2020
Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Mama Maria Nyerere, mjane wa baba taifa, marehemu Mwalimu Julius K...
MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA
Friday, October 30, 2020
WINGA Mghana wa Simba SC ataukosa mchezo dhidi ya mahasimu na timu yake ya zamani, Yanga SC Novemba 7 baada ya kufungiwa mechi tatu kwa kump...
JUMA NYOSSO AFUNGIWA MECHI TATU KWA KUMKANYAGA MORRISON MECHI YA RUVU NA SIMBA SC
Friday, October 30, 2020
BEKI wa Ruvu Shooting, Juma Said Nyosso amefungiwa mechi tatu kwa tuhuma za kumkanyaga kwa makusudi kiungo Mghana wa Simba SC, Bernard Morri...
REFA SHOAMRI LAWI AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUBORONGA MECHI YA PRISONS NA SIMBA SUMBAWANGA
Friday, October 30, 2020
REFA Shomary Lawi wa Kigoma amefungiwa mwaka mmoja kwa tuhuma za kushindwa kuumudu mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tan...
ARSENAL YAWACHAPA DUNDALK 3-0 EMIRATES EUROPA LEAGUE
Friday, October 30, 2020
Eddie Nketiah akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 42, kabla ya Joe Willock kufunga la pili dakika ya 44 na Nicol...
Thursday, October 29, 2020
NEYMAR AUMIA, PSG YASHINDA 2-0 UTURUKI LIGI YA MABINGWA
Thursday, October 29, 2020
Mshambuliaji Neymar akitoka nje dakika ya 27 baada ya kuumia kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain ikishinda ...
MESSI APIGA LA PILI BARCELONA YAICHAPA JUVENTUS 2-0 TORINO
Thursday, October 29, 2020
Wachezaji wa Barcelona wakimpongeza Nahodha wao, Lionel Messi baada ya kufunga bao la pili dakika ya 90 na ushei kufuatia Ousmane Dembele ku...
CHELSEA YAWACHAPA KRASNODAR 4-0 KULE KULE KWAO URUSI
Thursday, October 29, 2020
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Krasnodar kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya mabao ya C...
RASHFORD APIGA HAT TRICK MAN UNITED YAIPIGA LEIPZIG 5-0
Thursday, October 29, 2020
Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao matatu dakika za 74, 78 na 90 na ushei katika ushindi w...
Wednesday, October 28, 2020
REAL CHUPUCHUPU KUPIGWA UJERUMANI, YATOA SARE 2-2
Wednesday, October 28, 2020
Casemiro akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Borussia Moench...
BAYERN YAENDELEZA UBABE ULAYA, YAICHAPA LOKOMOTIV 2-1 MOSCOW
Wednesday, October 28, 2020
Kiungo Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la ushindi dakika ya 79 ikiwalaza wenyeji, Lokomotiv Moscow 2-1 kwen...
MAN CITY YAWACHAPA MARSEILLE 3-0 PALE PALE UFARANSA
Wednesday, October 28, 2020
Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Marseille mabao ya Ferran Torres dakika ya 18 Ilkay Gun...
SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA
Wednesday, October 28, 2020
Mohamed Salah (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili kwa penalti dakika ya 90 na ushei kufuatia Diogo Jota kufunga ...
Tuesday, October 27, 2020
IBRAHIMOVIC APIGA MBILI MILAN YALAZIMISHWA SARE NA ROMA 3-3
Tuesday, October 27, 2020
MKONGWE Zlatan Ibrahimovic jana amefunga mabao mawili dakika ya pili na 79 kwa penalti, AC Milan ikilazimishwa sare ya 3-3 na AS Roma katik...
SIMBA SC 0-1 RUVU SHOOTING (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Tuesday, October 27, 2020
Monday, October 26, 2020
MTIBWA SUGAR WAICHAPA AZAM FC 1-0 BAO LA KIPINDI CHA PILI LA JAFFAR SALUM KIBAYA GAIRO
Monday, October 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO pekee la Jaffar Salum Kibaya dakika ya 62 limetosha kuipa Mtibwa Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC ...
MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC WAPIGWA TENA, WACHAPWA 1-0 NA RUVU SHOOTING UHURU
Monday, October 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wamepoteza mechi ya pili mfululizo ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuchap...
DEPAY AMTAKIA HERI VAN DIJK BAADA YA KUIFUNGIA LYON
Monday, October 26, 2020
Mshambuliaji Memphis Depay akishangilia kwa kuonyesha fulana ya kumtakia heri beki wa Liverpool, Mholanzi mwenzake Virgil van Dijk wa Liverp...
VARDY APIGA BAO PEKEE LEICESTER YAILAZA ARSENAL 1-0 EMIRATES
Monday, October 26, 2020
Mshambuliaji Jamie Vardy akishangilia baada ya kuifungia Leicester City bao pekee dakika ya 80 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal kwenye...
SAMATTA ACHEZA KWA DAKIKA 88 FENERBAHCE YAICHAPA TRABZONSPOR 3-1 LIGI KUU YA UTURUKI
Monday, October 26, 2020
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana alicheza kwa dakika 88, Fenerbahce ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Trabzonspor Uwanja wa F...
KMC 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Monday, October 26, 2020
Sunday, October 25, 2020
YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KMC 2-1 KIRUMBA
Sunday, October 25, 2020
Na Mwandishi Wetu, MWANZA VIGOGO, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya wenyeji wahamiaji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-1
Sunday, October 25, 2020
Diogo Jota (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 64 ikiwalaza Sheffield United 2-1 kwenye mchezo wa L...
Saturday, October 24, 2020
LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YASHINDA 5-0
Saturday, October 24, 2020
Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia hat-trick Bayern Munich kwa mabao yake ya dakika za 10, 26 na 60 katika ushindi wa 5-0 dh...
MANCHESTER CITY WALAZIMISHA SARE YA 1-1 KWA WEST HAM
Saturday, October 24, 2020
Michail Antonio akibinuka tik tak kumtungua kipa wa Manchester City, Ederson Moraes dakika ya 18 baada ya krosi ya Jarrod Bowen kuipatia wa ...
CHELSEA WANYIMWA PENALTI WAKITOA SULUHU NA MAN UNITED
Saturday, October 24, 2020
Harry Maguire wa Manchester United akimdhibiti Cesar Azpilicueta wa Chelsea kwenye eneo la penalti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo ...
REAL MADRID YAIPIGA BARCELONA 3-1 PALE PALE CAMP NOU
Saturday, October 24, 2020
Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid kwa penalti dakika ya 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Barcel...
Friday, October 23, 2020
YANGA SC YAMSIMAMISHA UANACHAMA 'MAMA MANJI' KWA TUHUMA ZA KUMPAKAZA "SHOMBO" DK MSOLLA
Friday, October 23, 2020
KLABU ya Yanga imemsimamisha uanachama Bahati Mwakalinga 'Mama Manji' kwa tuhuma za kumpakazia maneno ya uongo, Mwenyekiti Dk Mshi...
KOCHA JULIO AIBUKA TENA, AITA WACHEZAJI 52 KUUNDA KIKOSI CHA AWALI CHA NGORONGORO HEROES
Friday, October 23, 2020
KOCHA Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' ameita wachezaji 52 katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka...
BAADA YA UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA, MECHI ZAKE ZOTE ZA LIGI KUU ZAHAMISHIWA UWANJA WA UHURU
Friday, October 23, 2020
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba kufuatia Uwanja wa Taifa kufungwa, mechi zote zilizokuwa zichezwe kwenye Uwanja huo z...
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU TANZANIA BARA KUJIUNGA NA MACCABI TEL-AVIV YA ISRAEL
Friday, October 23, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZAJI Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Novatus Dismas atajiunga na klabu ya Maccabi Tel-Aviv...
AZAM FC YAENDELEZA UBABE, YAICHAPA KVZ YA ZANZIBAR 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI
Friday, October 23, 2020
Beki Oscar Maasai akiugulia maumivu baada ya kuifungia Azam FC bao pekee dakika ya tano katika ushindi wa 1-0 dhidi ya KVZ ya Zanzibar kweny...
ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 UGENINI EUROPA LEAGUE
Friday, October 23, 2020
Wachezaji wa Arsenal wakifurahia baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Rapid Vienna kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi B E...
TANZANIA PRISONS 1-0 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Friday, October 23, 2020
YANGA SC 1-0 POLISI TANZANIA (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Friday, October 23, 2020
Thursday, October 22, 2020
MABINGWA WAPIGWA SUMBAWANGA, SIMBA SC WACHAPWA 1-0 NA TANZANIA PRISONS MANDELA
Thursday, October 22, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC leo wamepoteza mechi ya kwanza ya msimu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ...
‘TEACHER’ MUKOKO TONOMBE APIGA BAO PEKEE YANGA SC YAWACHAPA POLISI TANZANIA 1-0 UHURU
Thursday, October 22, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA mpya, Mrundi Cedric Kaze ameanza na ushindi mwembamba wa Yanga SC baada ya kuiongoza timu hiyo kwa ma...
REAL YACHAPWA 3-2 NA SHAKHTAR DONETSK PALE PALE MADRID
Thursday, October 22, 2020
Kipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois akienda kuokota mpira nyavuni baada ya Raphael Varane kujifunga dakika ya 33 katika ushindi wa 3-2 wa ...
AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY WAICHAPA FC PORTO 3-1
Thursday, October 22, 2020
Wachezaji wa Manchester City wakishangilia ushindi wa 3-1 dhidi ya FC Porto kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uw...
COMAN APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA ATLETICO 4-0
Thursday, October 22, 2020
Kingsley Coman akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 28 na 72 katika ushindi wa 4-0 wa Bayern Munich dhidi ya Atletico Madrid...
LIVERPOOL YAWACHAPA AJAX 1-0 AMSTERDAM BAO LA KUJIFUNGA WENYEWE
Thursday, October 22, 2020
Wachezaji wa Liverpool (kulia) wakishangilia baada ya Nicolas Tagliafico kujifunga dakika ya 35 kuwapa ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Kundi...
Wednesday, October 21, 2020
AMRI SAID ATUPIWA VIRAGO MBEYA CITY KUTOKANA NA MWENENDO MBAYA WA TIMU LIGI KUU
Wednesday, October 21, 2020
Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mbeya City imeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Amri Said Juma ‘Stam’ kutokana na mwendendo mba...
MORATA APIGA ZOTE MBILI JUVE YAILAZA DYNAMO KYIV 2-0
Wednesday, October 21, 2020
Alvaro Morata akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Juventus mabao yote dakika ya 46 na 84 ikiwalaza wenyeji, FC Dynamo Kyiv 2-0 katika ...
MESSI AFUNGA LA KWANZA BARCELONA YASHINDA 5-1 CAMP NOU
Wednesday, October 21, 2020
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 27 kwa penalti katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Ferencvaros kwe...
Subscribe to:
Posts (Atom)