• HABARI MPYA

        Thursday, September 17, 2020

        YANGA SC WAWASILI BUKOBA MAPEMA KWA NDEGE KUWAVAA KAGERA SUGAR JUMAMOSI KAITABA


        VIGOGO, Yanga SC tayari wapo Bukoba tangu asubuhi baada ya kuondoka Dar es Salaam kwa ndege kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Jumamosi Uwanja wa Kaitaba.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC WAWASILI BUKOBA MAPEMA KWA NDEGE KUWAVAA KAGERA SUGAR JUMAMOSI KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry