TIMU ya Polisi Tanzania imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Namungo FC 1-0, bao pekee la winga Rashid Juma dakika ya 76 Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Ikumbukwe mechi ya kwanza Polisi Tanzania ilifungwa 1-0 na Azam FC Jijini Dar es Salaam, wakati Namungo FC iliichapa Coastal Union 1-0 pia
Ikumbukwe mechi ya kwanza Polisi Tanzania ilifungwa 1-0 na Azam FC Jijini Dar es Salaam, wakati Namungo FC iliichapa Coastal Union 1-0 pia
0 comments:
Post a Comment