// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC AAHIDI MAMBO MAKUBWA...ASEMA MATAJI KAMA KAWA NA MENGINE MAZURI YANAKUJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC AAHIDI MAMBO MAKUBWA...ASEMA MATAJI KAMA KAWA NA MENGINE MAZURI YANAKUJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 05, 2020

    MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC AAHIDI MAMBO MAKUBWA...ASEMA MATAJI KAMA KAWA NA MENGINE MAZURI YANAKUJA

    Na Asha Said, DAR ES SALAAM          
    MTENDAJI Mpya wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez, amesema anatarajia makubwa ndani ya klabu hiyo kubwa likiwa kubeba mataji yote waliyopata msimu uliopita.
    Akizungumza mara baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari na  Mwenyekiti wa bodi ya Simba Mohammed Dewji, Gonzalez alisema kuwa kutokana na uzoefu aliokuwa nao  ndani ya klabu ya Simba ana matumaini ya kufanya makubwa .      
    Alisema mara baada ya kupewa nafasi ya kukaimu akiweza kujifunza mengi, hivyo hana ugeni wa utendaji.
    "Nina haidi makubwa simba,  ikiwa ni pamoja ya kutetea makombe yote tuliyochukuwa msimu uliopita,  kikubwa ushirikiano wa wanachama,  mashabiki na wadau wote wa Simba kwa ujumla" alisema Gonzalez.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC AAHIDI MAMBO MAKUBWA...ASEMA MATAJI KAMA KAWA NA MENGINE MAZURI YANAKUJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top