// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 05, 2020

    MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA

    Nyota mpya wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam  
    Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
    Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
    Beki mpya wa Yanga SC, Yassin Mustapha akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 
    Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top