• HABARI MPYA

        Thursday, September 24, 2020

        KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 6-0 CARABAO CUP


        NAYO Chelsea ikaichapa Barnsley 6-0, mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Paun Milioni 89, Kai Havertz akifunga mabao matatu peke yake dakika ya 28, 55 na 65, mabao mengine yakifungwa na Tammy Abraham dakika ya 19, Ross Barkley dakika ya 49 na Olivier Giroud dakika ya 83 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London
         

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 6-0 CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry