• HABARI MPYA

        Tuesday, September 08, 2020

        ITALIA YAIZIMA UHOLANZI KWAO, YAWACHAPA 1-0 AMSTERDAM

        Kiungo Nicolo Barella akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Italia dakika ya 45 ikiwachapa wenyeji, Uholanzi 1-0 katika mchezo wa Kund la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ITALIA YAIZIMA UHOLANZI KWAO, YAWACHAPA 1-0 AMSTERDAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry