Wachezaji wa Chelsea wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Amex. Mabao ya The Blues yalifungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 23, Reece James dakika ya 56 na Kurt Zouma dakika ya 66, wakati la Brighton lilifungwa na Leandro Trossard dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ravens' Derrick Henry Claps Back at RG3, Hypes Lamar Jackson as MVP on
Social Media
-
Derrick Henry is all in on a third MVP for Lamar Jackson. The Baltimore
Ravens running back responded to a post on X by former NFL quarterback
Robert Griffin…
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment