Beki Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akituliza mpira kifuani wakati wa mazoezi ya Simba SC jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar
Kipa Aishi Salum Manula akipiga mpira mazoezini, SImba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu
Beki Mkenya, Joash Onyango akituliza mpira mazoezini, Simba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu
Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Shomary Salum Kapombe akituliza mpira kifuani kwenye mazoezini ya Simba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu
Kiungo Mzambia, Larry Bwalya akipiga mpira mazoezini, SImba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu




0 comments:
Post a Comment