• HABARI MPYA

        Thursday, September 24, 2020

        ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 NA KUTINGA RAUNDI YA NNE CARABAO


        Wachezaji wa Arsenal wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City, mabao ya Christian Fuchs aliyejfunga dakika ya 57 na Eddie Nketiah dakika ya 90 usiku wa jana Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 NA KUTINGA RAUNDI YA NNE CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry