// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 09/01/2020 - 10/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 09/01/2020 - 10/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 30, 2020
    YANGA SC IMEIPIGA KMKM 2-0 CHAMAZI LEO MABAO YOTE AMEFUNGA KIUNGO MKONGO TONOMBE MUKOKO

    YANGA SC IMEIPIGA KMKM 2-0 CHAMAZI LEO MABAO YOTE AMEFUNGA KIUNGO MKONGO TONOMBE MUKOKO

    Wachezaji wa Yanga SC wakimpongeza kiungo Mkongo, Tonombe Mukoko baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 11 na 31 katika ushindi wa 2-0...
    THOMAS ULIMWENGU ANAVYOFURAHIA MAISHA NA WACHEZAJI WENZAKE TP MAZEMBE LUBUMBASHI

    THOMAS ULIMWENGU ANAVYOFURAHIA MAISHA NA WACHEZAJI WENZAKE TP MAZEMBE LUBUMBASHI

      Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulmwengu (kulia) akifuraha na wachezaji wenzake baada ya mazoezi leo Jijini Lubumbashi, Jamh...
    BOSI WA WAAMUZI AKIWPA DARASA MAREFA WA LIGI DARAJA LA PILI TANZANIA BARA LEO DAR

    BOSI WA WAAMUZI AKIWPA DARASA MAREFA WA LIGI DARAJA LA PILI TANZANIA BARA LEO DAR

    Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya Shrksho la Soka Tanzana (TFF), Soud Abdi akiwaelekeza waamuzi wa Ligi Daraja la Pili wakati wa kufunga se...
    AZAM FC WAKIJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMAPILI CHAMAZI

    AZAM FC WAKIJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMAPILI CHAMAZI

    Kiungo Awesu Awesu akimtoka beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa katika mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Ba...
    SIMBA SC ILIVYOGAWA KADI KWA MASHABIKI WAKE LEO JIJINI DODOMA KUELEKEA MECHI NA JKT JUMAPILI

    SIMBA SC ILIVYOGAWA KADI KWA MASHABIKI WAKE LEO JIJINI DODOMA KUELEKEA MECHI NA JKT JUMAPILI

    KLABU bingwa ya Tanzania, Simba leo imeendesha zoezi la kutoa kadi za mashabiki kwa wakazi wa Jiji la Dodoma kwenye vitongoji vya Saba Saba ...
    SPURS YAITOA CHELSEA KWA MATUTA, YAENDA ROBO FAINALI CARABAO

    SPURS YAITOA CHELSEA KWA MATUTA, YAENDA ROBO FAINALI CARABAO

    TIMU ya Tottenham Hotspur imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 5-4...
    BEKI MKALI WA MABAO, LAMINE MORO AONGEZA MKATABA WA KUITUMIKIA YANGA SC HADI MWAKA 2023

    BEKI MKALI WA MABAO, LAMINE MORO AONGEZA MKATABA WA KUITUMIKIA YANGA SC HADI MWAKA 2023

    Beki wa Yanga SC, Mghana Lamine Moro akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Hersi Said baada ya kusaini mkataba wa miaka miw...
    RAIS WA TFF, KARIA AWAONYESHA ENEO LA KIGAMBONI WALIOSHINDA TENDA YA UJENZI WA VITUO VYA SOKA

    RAIS WA TFF, KARIA AWAONYESHA ENEO LA KIGAMBONI WALIOSHINDA TENDA YA UJENZI WA VITUO VYA SOKA

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akiwaonyesha eneo la Kigamboni Maofisa wa Kampuni ya Group Six International ambayo...
    Tuesday, September 29, 2020
    Monday, September 28, 2020
    TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 11 UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

    TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 11 UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

    TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi katika kalenda ya FIFA Oktoba 11 Uwanja ...
    TAYLOR AMMALIZA KHONGSONG KWA KO NDANI YA SEKUNDE 161

    TAYLOR AMMALIZA KHONGSONG KWA KO NDANI YA SEKUNDE 161

    Josh Taylor akiwa ameshika mikanda ya WBA na IBF baada ya kummaliza Apinun Khongsong kwa Knockout (KO) ndani ya sekunde 161 katika pambano l...
     SAMATTA AINGIA KIPINDI CHA PILI FENERBAHCE YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA GALATASARAY

    SAMATTA AINGIA KIPINDI CHA PILI FENERBAHCE YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA GALATASARAY

    Na Mwandishi Wetu, ISTANBUL  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa Jumapili ametokea benchi kipindi cha pili, ...
    ANSU FATI APIGA MBILI, MESSI MOJA BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA

    ANSU FATI APIGA MBILI, MESSI MOJA BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA

    Mshambuliaji kinda, Ansu Fati akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika ya 15 akimalizia pasi ya Jordi Alba na dakika ya...
    JAMIE VARDY APIGA HAT TRICK LEICESTER YAITANDIKA MAN CITY 5-2

    JAMIE VARDY APIGA HAT TRICK LEICESTER YAITANDIKA MAN CITY 5-2

    Mshambuliaji Jamie Vardy akishangilia baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 37 kwa penalti, 54 na 58 kwa penalti katika ushi...
    Sunday, September 27, 2020
     YANGA SC WAENDELEZA USHINDI WA 1-0 LIGI KUU, WAICHAPA NA MTIBWA SUGAR LEO JAMHURI

    YANGA SC WAENDELEZA USHINDI WA 1-0 LIGI KUU, WAICHAPA NA MTIBWA SUGAR LEO JAMHURI

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO, Yanga SC wameendeleza staili yao ya ushindi mwembamba katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo...
    Saturday, September 26, 2020
     MEDDIE KAGERE, WAWA NA MUGALU WOTE WAFUNGA SIMBA SC YAITANDIKA GWAMBNA FC 3-0 DAR

    MEDDIE KAGERE, WAWA NA MUGALU WOTE WAFUNGA SIMBA SC YAITANDIKA GWAMBNA FC 3-0 DAR

    Na Mwandishi Wetu, SUMBAWANGA MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa G...
    FERNANDES AFUNGA LA USHINDI MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-2

    FERNANDES AFUNGA LA USHINDI MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-2

    TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa  Brighton & Hove Albion 3-2 jioni ya le...
     PRINCE DUBE AFUNGA DAKIKA YA MWISHO AZAM YAICHAPA PRISONS 1-0 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

    PRINCE DUBE AFUNGA DAKIKA YA MWISHO AZAM YAICHAPA PRISONS 1-0 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

    Na Mwandishi Wetu, SUMBAWANGA TIMU ya Azam FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, waha...
    SAMATTA MAZOEZINI NA KLABU YAKE MPYA, FENERBAHCE KUELEKEA MECHI NA MAHASIMU GALATASARAY KESHO

    SAMATTA MAZOEZINI NA KLABU YAKE MPYA, FENERBAHCE KUELEKEA MECHI NA MAHASIMU GALATASARAY KESHO

    Mshambuliaji mpya wa Fenerbahce akiwa mazoezini na timu yake hiyo mpya Jijini Istanbul nchini Uturuki baada ya kujiunga nayo kwa mkopo wa mw...
    Friday, September 25, 2020
    YANGA SC WALIVYOWASILI MOROGORO LEO KWA AJILI YA MCHEZO NA MTIBWA SUGAR JUMAPILI UWANJA WA JAMHURI

    YANGA SC WALIVYOWASILI MOROGORO LEO KWA AJILI YA MCHEZO NA MTIBWA SUGAR JUMAPILI UWANJA WA JAMHURI

    Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mkongo Tuisila Kisinda baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjino Morogoro mchana wa leo kwa ajili ya mch...
    MHILU AIPAA USHINDI WA KWANZA  KAGERA SUGAR LIGI KUU, NAMUNGO NAYO YAIPIGA 1-0 MBEYA CITY

    MHILU AIPAA USHINDI WA KWANZA KAGERA SUGAR LIGI KUU, NAMUNGO NAYO YAIPIGA 1-0 MBEYA CITY

    Na Mwandishi Wetu, BUKOBA TIMU ya Kagera Sugar imepata ushindi wa kwanza wa msimu baada ya kuichapa KMC ya Kinondoni, Dar es Salaam 1-0 leo ...
    SAMATTA AONDOKA ASTON VILLA, AJIUNGA NA FENERBAHCE YA UTURUKI KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA

    SAMATTA AONDOKA ASTON VILLA, AJIUNGA NA FENERBAHCE YA UTURUKI KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA

    Na Mwandishi Wetu, ISTANBUL  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amejiunga na Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo wa mwak...
    Thursday, September 24, 2020
    MTENDAJI MKUU WA SIMBA SC, BARBARA GONZALEZ AFIKA HADI MAKAO MAKUU YA CAF NA KUZUNGUMZA NA RAIS AHMAD

    MTENDAJI MKUU WA SIMBA SC, BARBARA GONZALEZ AFIKA HADI MAKAO MAKUU YA CAF NA KUZUNGUMZA NA RAIS AHMAD

    Na Mwandishi Wetu, CAIRO OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka bar...
    KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI SUMBAWANGA LEO KWA AJILI YA MCHEZO DHIDI YA TANZANIA PRISONS JUMAMOSI

    KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI SUMBAWANGA LEO KWA AJILI YA MCHEZO DHIDI YA TANZANIA PRISONS JUMAMOSI

    Kiungo Mzimbabwe wa Azam FC, Never Tigere baada ya kuwasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi...
    TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJENGA VITUO VYA MAENDELEO YA SOKA DAR NA TANGA

    TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJENGA VITUO VYA MAENDELEO YA SOKA DAR NA TANGA

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzana (TFF), Wallace Karia (katikati) akiwa na Mkandarasi Yi Xiaobo wa kampuni ya Group Six International wakio...
    KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 6-0 CARABAO CUP

    KAI HAVERTZ APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 6-0 CARABAO CUP

    NAYO Chelsea ikaichapa Barnsley 6-0, mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa Paun Milioni 89, Kai Havertz akifunga mabao matatu peke yake dakika ya ...
    ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 NA KUTINGA RAUNDI YA NNE CARABAO

    ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 NA KUTINGA RAUNDI YA NNE CARABAO

    Wachezaji wa Arsenal wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City, mabao ya Christian Fuchs aliyejfunga dakika ya ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top