Wachezaji wa Azam FC kutoka kulia, beki Aggrey Morris, kiungo Iddi Suleiman 'Nado', mshambuliaji Mzambia Obrey Chirwa na kiungo Mzimbabwe, Never Tegere wakiwa wamevaa jezi mpya za klabu hiyo za msmu mpya ambazo tayari zinapatikana sokoni kwa kwa bei poa kabisa ya Sh. 20,000 kwenye duka la klabu la Kariakoo 'Azam FC Sports Shop' na uwanjani Azam Complex. Jezi nyeupe itakuwa ya nyumbani, bluu itakuwa ya ugenini huku ya orange ikiwa ya ziada (neutral).
Mara baada ya uzinduzi, jezi zimeanza kuuzwa leo Uwanja wa Azam Complex na pia zitapatikana dukani la klabu, Kariakoo, Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau, akitambulisha jezi rasmi za Azam FC za msimu ujao. Kidau mbali na kutambulisha jezi pia ndiye aliyekuwa mgeni rasmi wa wiki ya Chamazi iliyoanza rasmi leo, ambayo itaitimika Jumapili ijayo kwa Tamasha la Azam Festival.
Wiki ya Chamazi ndani ya Azam Complex.
Wiki ya Chamazi ndani ya Azam Complex.
Asante Kotoko's inconsistent performances very bad - Ibrahim Sunday
-
Asante Kotoko legend Ibrahim Sunday has expressed his concerns regarding
the inconsistent performances of the club in the ongoing Ghana Premier
League seas...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment