// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA TFF, ABDULAZIZ MOHAMED ALIVYOONGOZA KIKAO JANA SUMBAWANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA TFF, ABDULAZIZ MOHAMED ALIVYOONGOZA KIKAO JANA SUMBAWANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA TFF, ABDULAZIZ MOHAMED ALIVYOONGOZA KIKAO JANA SUMBAWANGA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mohamed Abdulaziz akizungumza katika kikao baina ya Bodi hiyo na viongozi wakuu wa shirikisho jana Sumbawanaga mkoani Rukwa. Kushoto ni Dk Tulia Ackson na kulia Mzee Stephen Mashishanga, Wajumbe wa Bodi hiyo.
Hapa ni Rais wa TFF, Wallace Karia (kushoto) na Katbu wake, Wilfred Kidau akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo leo Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment