Kiungo mshambuliaji, Haroun Othman Chanongo akishangilia baada ya kuifungia Mtibwa Sugar bao la ushindi dakika ya 86 ikiilaza Dodoma Jiji FC 3-2 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa CCM Gairo, Morogoro jioni ya leo. Mabao mengine ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Dickson Job dakika ya 42 na Boban Zilntusa dakika ya 67 kwa penalti, wakati ya Dodoma FC yalifungwa na Anuary Jabir dakika ya 15 na Dickson Ambundo dakika ya 25
'Glasner's FA Cup heroes give Tuchel food for thought'
-
Crystal Palace's spectacular FA Cup semi-final win over Aston Villa must
give England boss Thomas Tuchel food for thought, writes Phil McNulty.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment