• HABARI MPYA

        Thursday, August 20, 2020

        MTIBWA SUGAR YAMSAJILI KIUNGO BARAKA GAMBA MAJOGORO KUTOKA KLABU YA POLISI YA TANZANIA

        Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Jamal Bayser (kushoto) akimkabidhi kiungo Baraka Gamba Majogoro (katikati) nakala za mkataba baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo kutoka Polisi Tanzania ya Kilimanjaro. Kulia ni Meneja wa mchezaji huyo, Peter Simon na huyo anakuwa mchezaji wa pili mpya kusajiliwa Mtibwa Sugar baada ya kiungo mwingine, Abal Kassim Khamis kutoka Azam FC kwa mkopo 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MTIBWA SUGAR YAMSAJILI KIUNGO BARAKA GAMBA MAJOGORO KUTOKA KLABU YA POLISI YA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry