• HABARI MPYA

        Saturday, August 29, 2020

        MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU, NOVATUS DISSMAS AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2023

        Mchezaji Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Novatus Dissmas akiwa na Biashara United alipokuwa anacheza kwa mkopo ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwa mali ya Azam FC hadi mwaka 2023 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU, NOVATUS DISSMAS AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry