Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 10 kwa penalti na 83 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa marudano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern Munch yalifungwa na Ivan Perisic dakika ya 24 na Corentin Tolisso dakika ya 76, wakati bao peke la Chelsea lilifungwa na Tammy Abraham dakika ya 44 na sasa Bavarian wanasonga mbele kwa ushnd wa jumla wa 7-1 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza London na watamenyana na Barcelona katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The future of English rugby HENRY POLLOCK on emulating Luke Littler,
marathons in the desert and the eight Under-20 stars ready to burst into
Steve Borthwick's team
-
NIK SIMON: In the rugby world, England's Under 20 World Cup winners are
demonstrating their own prowess at senior level. Pollock is one of the
shining ligh...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment