Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya Juventus kutolewa katika Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufunga mabao mawili dakika za 43 kwa penalti na 60 akimalizia pasi ya Federico Bernardeschi katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa marudiano usiku wa jana Uwanja wa Allianz, Torino. Bao la Lyon lilifungwa na Memphis Depay kwa penalti dakika ya 12 na kufanya sare ya jumla ya 2-2 na wageni kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Ufaransa hivyo kusonga mbele kwa faida ya bao la ugenini na sasa itakutana na Manchester City iliyoitoa Real Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dave Portnoy labels Mark Zuckerberg a 'spineless jellyfish' in brutal
takedown of Meta boss
-
In the latest edition of The Joe Rogan Experience, the Meta chief discussed
how the Biden administration asked them to take down posts regarding
vaccines.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment