Mshambuliaji Jordan John akikabidhiwa jezi ya Ihefu SC baada ya kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Mbao FC ya Mwanza iliyoshuka daraja

Beki wa kati Wema Sadoki akisaini mkataba wa kuitumikia Ihefu SC iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja

Beki wa kati Wema Sadoki akisaini mkataba wa kuitumikia Ihefu SC iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja
0 comments:
Post a Comment