Kiungo wa ulinzi, Justine Omari amejiunga na Dodoma Jiji FC iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kutoka Biashara United ya Musoma mkoani Mara
Mchumi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Ndugu Shabani Juma (kulia) akibadilishana nakala ya Mkataba na Agustino Ngata baada ya beki huyo kisiki kusaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na Dodoma Jiji FC iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu

0 comments:
Post a Comment