Kiungo wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kesho kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi
Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Mghana Michael Sarpong akipiga mpira mazoezini leo
Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akipiga mpira mazoezini leo
Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Waziri Junior akipiga mpira mazoezini leo
Kocha mpya wa Yanga SC, Mserbia Zlatko Krmpotic (kulia) akiwa na Mweyekiti wa klabu, Dk Mshindo Msolla mazoezini leo
Barcelona lose second appeal to register Olmo before deadline
-
Barcelona lose another appeal to register Spain midfielder Dani Olmo for
the second half of the season, one day before the deadline.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment