Beki mpya wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto akiwa mazoezini leo na timu yake hiyo mpya Jijini Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Coastal Union ya Tanga
Beki mpya wa Yanga SC, Yassin Mustapha akiwa mazoezini leo na timu yake hiyo mpya Jijini Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Poilisi Tanzania ya Kilimanjaro
Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa mazoezini leo na Yanga baada ya kurejea kikosini kufuatia msimu mmoja wa kwenda kucheza Marekani


0 comments:
Post a Comment