• HABARI MPYA

        Friday, August 21, 2020

        AMANI KYATA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA NAMUNGO FC KUTOKA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA

        BEKI wa kati, Amani Peter Kyata akiwa ameshika jezi ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutoka Kariobangi Sharks ya Kenya
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AMANI KYATA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA NAMUNGO FC KUTOKA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry