
Monday, August 31, 2020

KLABU ya Yanga SC ya Dar es Salaam imelaani vikali kitendo cha mashabiki wake, kumfanya fujo shabiki wa timu pinzani, Simba SC.
POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS 'SHARO' WA ALLIANCE FC
Monday, August 31, 2020
Beki wa kushoto, Yahaya Mbegu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo aktokea...
YACOUBA SOGNE AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 BAADA YA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE YANGA SC
Monday, August 31, 2020
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwa ameshka jezi namba 10 baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kukamilisha uhamis...
HAMAD HILIKA ASAJILIWA MTIBWA SUGAR NA KUFUNGA MABAO MAWILI KATIKA USHINDI WA 6-2 LEO GAIRO
Monday, August 31, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Ibrahim Hamad Ahmada 'Hilika' kutoka Zi...
LUIS MIQUISSONE APIGA HAT TRICK SIMBA SC YAITANDIKA ARUSHA FC 6-0 MECHI YA KIRAFIK SHEIKH AMRI ABED
Monday, August 31, 2020
Kiungo wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji (kulia) akishangilia bada ya kuifungia timu yake hiyo mabao matatu dakika za 64, 76 ...
MSHAMBULAJI MPYA, YACOUBA SOGNE AWASILI KUTOKA KWAO, BURKINA FASSO KUKAMILISHA KIKOSI KIPYA CHA YANGA SC
Monday, August 31, 2020
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwapungia mkono huku amebeba bendera mashabiki wa Yanga SC baada ya kuwasili U...
MTIBWA SUGAR YASAJILI WENGINE WAWILI JUMA NYANGI NA ABUBAKAR AME NA KUFIKISHA SABA WAPYA JUMLA
Monday, August 31, 2020
KLABU ya Mtibwa Sugar imemsajili kiungo wa kati Juma Nyangi Ganabali kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja kwa mkataba wa miaka m...
Sunday, August 30, 2020
YANGA SC 2-0 AIGE NOIR (MECHI YA KIRAFIKI MKAPA)
Sunday, August 30, 2020
SIMBA SC 2-0 NAMUNGO FC (NGAO YA JAMII ARUSHA)
Sunday, August 30, 2020
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA TANZANIA PRISONS LEO CHAMAZI
Sunday, August 30, 2020
Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D'jodi akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa kirafiki leo Uwan...
YANGA SC YAWACHAPA AIGLE NOIR 2-0 MKAPA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI
Sunday, August 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO wa soka Tanzania, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Burundi, Aigle N...
MORRISON ASETI LA KWANZA, APIGA LA PILI SIMBA YAICHAPA NAMUNGO 2-0 NA KUTWAA NGAO YA JAMII YA SITA
Sunday, August 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa mataji yote nchini, Simba SC wamefanikiwa kutwaa na Ngao ya Jamii baaa ya ushindi wa 2-0 dhid...
BEKI HODARI WA KULIA, HASSAN RAMADHANI KESSY AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR KUTOKA NKANA FC YA ZAMBIA
Sunday, August 30, 2020
BEKI wa kulia, Hassan Ramadhan Kessy akiwa na nakala za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro kutoka Nkana FC ya Zambia. K...
Saturday, August 29, 2020
CARLOS CARLINHOS NA NYOTA WENGINE YANGA SC KWENYE MAZOEZI LEO MKAPA MBELE YA KOCHA MPYA
Saturday, August 29, 2020
Kiungo wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kujianda...
RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA
Saturday, August 29, 2020
Kiungo mpya wa Simba SC, Mzambia Rally Bwalya akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii ke...
TWAHA KIDUKU ALIVYOMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI
Saturday, August 29, 2020
ARSENAL WAICHAPA LIVERPOOL KWA MATUTA NA KUBEBA NGAO
Saturday, August 29, 2020
Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jioni ya leo Uwanja wa Wembley Jij...
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU, NOVATUS DISSMAS AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2023
Saturday, August 29, 2020
Mchezaji Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Novatus Dissmas akiwa na Biashara United alipokuwa anacheza kwa mkop...
GEITA GOLD YAMCHUKUA KOCHA FREDDY FELIX MINZIRO AWASAIDIE KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO
Saturday, August 29, 2020
KLABU ya Geita Gold FC leo imemtangaza rasmi Freddy Felix Minziro (kushoto) kuwa Kocha wake mpya atakayeiongoza timu hiyo katika jaribio ...
KOCHA MPYA, ZLATKO AWASILI DAR TAYARI KUSAINI MKATABA NA KUANZA KAZI YANGA SC
Saturday, August 29, 2020
MSERBIA Zlatko Krmpotic akiwa na Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli baada ya kuwasili Dar es Salaam leo kutoka kwao Yugoslavi...
SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA
Saturday, August 29, 2020
SERIKALI imezitoa hofu klabu za soka Tanzania kuhusu wachezaji na makocha wa kigeni iliyowaajiri kwamba zinaweza kuwatuma wakati huu Ligi...
TWAHA KIDUKU AMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI ZA MAJAJI WOTE
Saturday, August 29, 2020
Bondia Abdallah Paz 'Dullah Mbabe' (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake Twaha Kiduku wa Morogoro katika pambano la uzito wa Super ...
Friday, August 28, 2020
SON HEUNG-MIN AFUNGA SPURS YAICHAPA READING 4-1
Friday, August 28, 2020
Mshambuliaji Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la tatu dakika ya 39 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Read...
UHAMIAJI YAZITAHADHARISHA KLABU ZA DAR KUTOWATUMIA WACHEZAJI NA MAKOCHA WASIO NA VIBALI VYA KUFANYIA KAZI NCHINI
Friday, August 28, 2020
IDARA ya Uhamiaji Tanzania imezionya klabu za soka Dar es Salaam kutowatuma wachezaji na makocha ambao hawajapewa vibali vya kufanyia ka...
YANGA SC WAPEWA SIKU TANO KUREJESHA KIBALI CHA KUFANYIA KAZI CHA MORRISON VINGINEVYO WATACHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA
Friday, August 28, 2020
IDARA ya Uhamiaji Tanzania imeipa siku tano klabu ya Yanga kurejesha kibali cha kufanyia kazi nchini cha mchezaji Mghana, Bernard Morris...
GEOFFREY KIGGI AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MITATU BAADA YA ALLIANCE FC KUSHUKA DARAJA
Friday, August 28, 2020
Beki wa kati, Geoffrey Luseke Kiggi (kulia) akiwa na Kocha wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zubery Katwila wakati wa kusaini mkataba wa miaka...
DARUWESH SALIBOKO ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA BAADA YA LIPULI FC KUSHUKA DARAJA
Friday, August 28, 2020
Mshambuliaji Daruwesh Saliboko akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Polisi Tanzania FC ya Kilimanjaro kutoka Lipuli FC ya Iringa ...
SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KWENDA ARUSHA KWA AJILI YA MECHI YA NGAO YA JAMII DHIDI YA NAMUNGO FC JUMAPILI
Friday, August 28, 2020
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji akifurahia wakati wa safari ya kwenda Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ng...
CHELSEA YAENDELEA KUIMARISHA UKUTA KWA KUMSAJILI THIAGO SILVA
Friday, August 28, 2020
Beki wa kati, Mbrazil, Thiago Silva akiwa na jezi ya Chelsea baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na The Blues kama mchezaji ...
MTIBWA SUGAR YAFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BENCHI LAKE LA UFUNDI, BARNABAS AULA
Friday, August 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro imefanya mabadiliko madogo katika benchi lake la ufundi kuelekea msimu ...
PARIMATCH TANZANIA YAINGIA MKATABA WA MWAKA MMOJA KUIDHAMINI MBEYA CITY LIGI KUU
Friday, August 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Parimatch Tanzania imesaini mkataba wa mwaka mmoja kuidhamini klabu ya Mbeya City ambayo inayo...
Subscribe to:
Posts (Atom)