Wachezaji wa kigeni wa Yanga SC, kipa Mkenya Farouk Shikharo (katikati) na mshambuliaji Muivory Coast, Yikpe Gislain wakiwa mjini Morogoro mara baada ya timu yao kuwasili kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa CCM Gairo
yanga_sc_morogoro @binzubeiry
yanga_sc_morogoro @binzubeiry
0 comments:
Post a Comment