• HABARI MPYA

        Tuesday, July 07, 2020

        WACHEZAJI SIMBA WAKISHANGILIA KUITOA SC VILLA 2005 MWANZA

        WACHEZAJI wa Simba SC wakishangilia baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya SC Villa ya Uganda kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Tusker Juni 28, mwaka 2005 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WACHEZAJI SIMBA WAKISHANGILIA KUITOA SC VILLA 2005 MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry