Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 56 ikiwalaza Espanyol 1-0 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou ambao kila limpoteza mchezaji mmoja kwa kadi nyekundu. Barcelona inafikiisha pointi 76 baada ya kucheza mechi 35, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya Real Madrid yenye pointi moja zaidi na mechi mkononi, wakati Espanyol inaendelea kushika mkia na pointi zake 24 za mechi 35 sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mutfwang tours Bokkos, Mangu, pledges resettlement and security for farmers
-
From Jude Owuamanam, Jos Plateau State Governor Caleb Mutfwang visited
communities in Bokkos and Mangu Local Government Areas devastated by recent
attack...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment