Kiungo mshambuliaji wa Difaa Hassan El-Jadidi, Simon Happygod Msuva akiwa ameinua chuma kufanya mazoezi kujiandaa na Ligi Kuu ya Morocco inayotarajiwa kuanza tena mwishoni mwa mweszi huu baada ya kusimama tangu Machi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19
Hapa Simon Msuva akiwa na Mtanzania mwenzake, beki Nickson Kibabage ambaye wanacheza naye timu hiyo
0 comments:
Post a Comment