• HABARI MPYA

        Sunday, July 12, 2020

        RONALDO APIGA MBILI JUVENTUS YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA ATALANTA

        Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus, yote kwa penalti dakika za 55 na 90 ikilazimishwa sare ya 2-2 na Atalanta ambayo mabao yake yalifungwa na Daniel Zapata dakika ya 16 na Ruslan Malinovskiy dakika ya 80 katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijini Torino. Pamoja na sare hiyo, Juventus inaendelea kuongoza Serie A kwa pointi zake 76, ikifuatiwa na Lazio 68 na Atalanta 67 baada ya wote kucheza mechi 3
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI JUVENTUS YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA ATALANTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry