Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus, kwa penalti dakika ya 51 na lingine dakika ya 54 akimalizia pasi ya Paul Dybala katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lazio ambayo bao lake lilifungwa na Ciro Immobile dakika ya 83. Ushindi huo unaifanya Juventus ifikishe pointi 80 na kuendelea kuongoza Serie A kwa pointi nane zaidi ya Inter Milan inayofuatia baada ya wote kucheza mechi 34, wakat Lazio inabaki nafasi ya nne na pointi zake 69 za mechi 34 pia. Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 50 kwenye Serie A, Lg Kuu England na La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nigeria and the US new tariffs
-
President Donald Trump recently announced sweeping tariffs on all export
goods to the United States (US) and a baseline 10 per cent tariff on all
America...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment