Karim Benzema akishangilia baada ya kuifunga Real Madrid bao la pili dakika ya 16 kufuatia Ferland Mendy kufunga la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Granada ambao bao lao lilifungwa na Darwin Marchis dakika ya 50 Uwanja wa Nuevo Los Carmenes. Ushindi huo unaifanya Real Madrid itanue tena uongozi wake ikifikisha pointi 83 na sasa inawazidi pointi nne mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 36, wakati Granada inabaki nafasi ya 10 na pointi zake 50 za mechi 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ghana forward Inaki Williams leads Athletic Bilbao as Top scorer and
assister
-
Inaki Williams continues to make his mark at Athletic Bilbao, remaining one
of the team's most influential players.The Ghanaian international is tied
as th...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment