POGBA AFUNGA LA TATU MAN UNITED YAICHAPA 3-0 ASTON VILLA
Manchester United jana imeichapa Aston Villa 3-0 Uwanja wa Villa Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Bruno Fernandes dakika ya 27 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Ezri Konsa, Mason Greenwood dakika ya 45 na Paul Pogba dakika ya 58. Kwa ushindi huo Manchester United inafikisha pointi 58, ingawa inabaki nafasi ya tano, ikizidiwa pointi moja na Leicester City baada ya wote kucheza mechi 34PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment