// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PARIMATCH YAENDELEA KUSHIKA KASI YA UBUNIFU KATIKA MICHEZO YA KUBASHIRI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PARIMATCH YAENDELEA KUSHIKA KASI YA UBUNIFU KATIKA MICHEZO YA KUBASHIRI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 20, 2020

    PARIMATCH YAENDELEA KUSHIKA KASI YA UBUNIFU KATIKA MICHEZO YA KUBASHIRI

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
    KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya maboresho yake katika tovuti yao ya kubashiri na kuongeza michezo lukuki ikiwemo Casino, sasa imewageukia watumiaji wa simu za iphone (iOS) kwa kuwapa fursa ya kubashiri kiulani popote walipo kwa kupakua App ya Parimatch  kutoka App store na kuendelea kufurahia msisimko wa kuvuna pesa.
    Hayo yamebainishwa na Meneja Mkuu wa Parimatch Tanzania, Bwana Tumaini Maligana wakati alipokuwa akizungumza kwenye mkutano mfupi na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kusema kwamba kwa sasa watumiaji wa simu za iphone (iOS) pamoja na zile za Android watapata kufurahia kupata kucheza na kushinda michezo yote mikali inayotolewa na Parimatch kwa kubonyeza https://pma.bet/3f3jq24.

    “Kutokana teknolojia kuwa na manufaa makubwa katika nyanja nyingi za kijamii hususani tasnia ya michezo ya kubahatisha, nasi tukaona itakuwa sio jambo la busara kama kuona kundi fulani la wateja wetu wanashindwa kupata huduma zetu bora kutokana na aina fulani ya simu zao wanazitumia. Pia kuwa na App ya iOS ulikuwa ni mpango wetu wa muda mrefu huko nyuma ila tunashukuru kuona tumeweza kuwafikia wateja wetu wote kwa sasa”, alisema Maligana.

    Aidha, Maligana ameendelea kwa kusema kuwa “kupitia tovuti yetu ya Parimatch pma.bet/parimatch wataweza kufurahia kucheza na kushinda michezo yote mikali pamoja na kupakua App mpya kwa watumiaji wa iOS na kujionea wenyewe raha ya burudani ilivyo kwa kubeti na Parimatch”
    Pamoja na hayo, Maligana amedai kwamba Parimatch imejipanga vilivyo katika kulichangamsha soko la michezo ya kubahatisha kwa kutoa huduma bora zaidi pamoja na promosheni za kibabe kwa wateja wake wote waliopo kila upande wa nchi ya Tanzania.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PARIMATCH YAENDELEA KUSHIKA KASI YA UBUNIFU KATIKA MICHEZO YA KUBASHIRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top