Kiungo na Nahodha wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi (wa pili kulia) aliyekuwa majeruhi tangu mwezi uliopita akiwa mazoezini na wenzake jana kuelekea mchezo wa leo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC
Papy Kabamba Tshishimbi amefanya mazoezi kikamilifu kwa siku tatu kuelekea mchezo wa leo utakaofanyika Uwanja wa Taifa
Alijiunga na timu Alhamisi iliporejea kutoka Bukoba na kwa takriban wiki mbili alikuwa akifanya mazoez binafsi


0 comments:
Post a Comment